fB insta twitter

Maneno 21 ya Rais Mstaafu Kikwete baada ya mkewe kuapishwa kuwa mbunge

on

Leo April 4 2017 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameshuhudia kiapo cha ubunge cha mkewe mama Salma Kikwete. Baada ya kiapo hicho kupitia account yake ya twitter ameyaandika haya….

>>>‘Leo asubuhi nimeshuhudia kiapo cha Mke wangu Mhe. Salma Rashid Kikwete kuwa Mbunge wa Kuteuliwa Bungeni Dodoma.Ni zamu yangu kumuunga mkono’

VIDEO: Wabunge walivyosimama kumshangilia Rais mstaafu Kikwete, Bonyeza play hapa chini kuitazama

 

Soma na hizi

Tupia Comments