Habari za Mastaa

Kanye West kathibitisha anakuja

on

Rappa Kanye West amekuja na hii mpya baada ya kufanya mahojiano na mtandao wa TMZ na Harvey Levin ikiwa ni siku moja imepita tokea itangazwe rasmi tarehe ya kuachiwa Album yake ya “Yandhi” ambayo itaachiwa rasmi November 23,2018.

Kwenye mahojiano hayo Kanye West amegusia mpango wake wa kutembelea bara la Afrika wiki mbili zijazo ili kumalizia ngoma chache za kwenye Album yake ya Yandhi na kusema kuwa anataka ladha mpya kwenye kazi zake tofauti na watu walivyozoea.

“Nilipata hamasa hiyo nilipokuwa Chicago lakini safari hii inabi twende Afrika ili nikagundue uhalisia wa huko, nataka kushika udongo, kupika chakula kwa siku tano ili kuangalia metaboli inavyofanya kazi, tushike mic na watoto wangu kwenye uwazi ili tune uhalisia ulivyo”

Duh!! Spidi ya gari yamgharimu Quick Rocka

Soma na hizi

Tupia Comments