AyoTV

Video: JK alivyofanya usafi 9 Dec na kuwajibu wanaosema aliwahi kuagiza kontena za baadhi ya Wafanyabiashara zisilipiwe kodi

on

Ilikua ni Dec 9 2015 siku ya Uhuru ambapo Watanzania mbalimbali waliitumia kufanya usafi kwenye maeneo yao kama ilivyoelekezwa na Rais Magufuli, baada ya kufanya usafi Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliongea machache zikiwemo ishu za yeye kuhusishwa na kuagiza Wafanyabiashara na kontena zao wasilipe kodi, tazama hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments