AyoTV

VIDEO: JK Comedian alivyomchekesha mtoto wa Julius Nyerere (Makongoro Nyerere)

on

Msanii JK Comedian amezidi kuonyesha ubora wake katika kuziigiza sauti za watu mashuhuri kwa style ya kuchekesha, JK Comedian amekuwa akialikwa sehemu mbalimbali kuburudisha watu kwa kuiga sauti za viongozi hususani Rais mstaafu Jakaya Kikwete, hii hapa alipomuiga Rais Julius Kambarage Nyerere, Dkt John Pombe Magufuli na Jakaya Mrisho Kikwete.

ULIIKOSA HII YA JK COMEDIAN ALIVYOKUTANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA, WAZIRI MWAKYEMBE NA PROFESA TIBAIJUKA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA.

Soma na hizi

Tupia Comments