Mix

Kama hukuisikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete leo March 21 kupitia Bunge la Katiba,ipo hapa yote.

By

on

JK1Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete leo March 21 amelihutubia Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo Mheshimiwa Samuel Sitta,ameongea vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Kwa ajili yako mtu wangu wa nguvu nimekurekodia hotuba yote na kukuwekea hapa endelea kuwa karibu na mimi kupitia Instagram/Facebook na Twitter.com kwa jina hilo hilo la Millard Ayo ili usipitwe na jambo lolote linalotokea iwe ni usiku au mchana.

Bonyeza play kusikiliza hotuba yote ya Rais Kikwete hapa.

Tupia Comments