Michezo

Ratiba ya robo fainali ya UEFA Champions League 2018/2019

on

Baada ya kumalizika kwa hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019 na kuzifahamu timu zilizofuzu kuingia hatua ya robo fainali, leo UEFA wamechezesha droo ya hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.

Ni timu nane zimefuzu hatua ya robo fainali leo ila droo imechezeshwa kujua timu gani itacheza na timu ipi, michezo ya kwanza ya robo fainali itachezwa April 9 na 10 2019 na marudiano itakuwa April  16 na 17 2019.

Hii ndio robo fainali.

Hii ndio ratiba itakavyokuwa hadi kufikia hatua ya fainali ya UEFA Champions League.

Mwinyi Zahera alisababisha shabiki wa Yanga abet mke 

Soma na hizi

Tupia Comments