AyoTV

Austin amerudi Tanzania na project kwa dancers

on

Mtanzania Emmanuel Austin ambaye anaishi na kufanya shughuli zake nchini Ujerumani, amerudi Tanzania kwa ajili ya kuendeleza Work shop yake ya dance ambayo ameanza utaratibu wa kuifanya kila mwaka.

Kama ufahamu Austin ni mwalimu wa dance na ana chuo cha kufundishia dance nchini Ujerumani, hivyo mwaka huu amekuja Tanzania na baadhi ya wanafunzi wake wa dance kwa ajili ya work shop ya dance ambayo ataifanya siku ya Ijumaa ya June 29 Oysterbay na hakuna kiingilio lengo likiwa kusaidia vipaji vya dance Tanzania.

Miaka 9 tokea kifo cha Michael Jackson, kuna haya ya kuyafahamu

Soma na hizi

Tupia Comments