Moja ya habari iliyoripotiwa mapema leo August 26, 2017 kutoka Dar es Salaam ni kuhusu Ofisi za IMMMA Advocates za Wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha kuungua kwa moto alfajiri ya leo.
millardayo.com ilikuwepo eneo la tukio na imezinasa hizi picha 21 kutoka eneo la tukio hilo.
Chanzo kinachodaiwa kusababisha moto Ofisi ya Wakili Fatma Karume!!!