Kutoka mkoani Arusha leo April 21, 2018 nikusogezee stori kumhusu Mbunge wa jimbo la Monduli Julius Kalanga amefika katika kata ya mto wa mbu wilaya ya karatu nakushuhudia kaya zaidi ya 1000 mifugo, pamoja na vyakula ambavyo vimeharibiwa na mvua nakushauri kuwepo kwa vikao vya majadiliano ili kunusuru jambo hilo.