Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya hapa kumi kubwa za leo na waweza kuzipata huko.
#NIPASHE Uhakiki unaoendelea bodi ya mikopo umebaini kuwapo kwa wanafunzi 3,000 waliopata mikopo kimakosa kutokana na kupungukiwa vigezo pic.twitter.com/sSygDBP3YW
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#NIPASHE Zitto ahoji ongezeko la bil 78 mishahara ya watumishi wa umma wakati serikali ilitangaza kuondoa wafanyakazi hewa zaidi ya 19,000 pic.twitter.com/ncuQ6iFUrx
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#NIPASHE TZ yadaiwa ndiyo nchi pekee A. Mashariki ambayo haina sera na sheria za masuala ya fedha zinazochochea maendeleo ktk sekta hiyo pic.twitter.com/wWy2TcYeFN
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#MWANANCHI Waliokosa mikopo vyuoni wakusanya mil 950 kutokana na 30,000 za fomu za maombi, zinatosha kuwalipia ada wenzao 646 kwa mwaka pic.twitter.com/s0GUhZvTBF
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#MTANZANIA Wabunge wachachamaa huku wakimtaja Waziri wa fedha, Dk.Philip Mpango kuwa ana kiburi na hashauriki pic.twitter.com/wz68itc7uF
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#MTANZANIA Wanaume wenye mbegu hafifu wana hatari ya kuzalisha watoto wenye kasoro mbalimbali ikiwemo kichwa kikubwa na mgongo wazi pic.twitter.com/NFuoI2DFfp
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#MTANZANIA Wataalamu wengi wa afya ya uzazi bado wanaamini miaka 20-35 ndio umri sahihi wa kushika mimba na kuzaa pic.twitter.com/UKZP7f4QmZ
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#HabariLEO Serikali imeshauriwa kulifanya eneo la kariakoo, DSM kuwa eneo huru la biashara, ambapo kitakachoingia eneo hilo hakitatozwa kodi pic.twitter.com/2NrvfJkSTR
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#MTANZANIA Wapakstani wahukumiwa kulipa faini ya mil 126 TCRA kwa kuingiza nchini vifaa vya mawasiliano na kuendesha biashara bila leseni pic.twitter.com/V5WYQscEI2
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
#MWANANCHI Waziri Lukuvi sasa awageukia raia wa kigeni wenye hati za kumiliki ardhi asema sheria haiwaruhusu, aomba wananchi kuwafichua pic.twitter.com/fmiCmnfEKz
— millardayo (@millardayo) November 3, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV NOVEMBER 03 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI