AyoTV

VIDEO: Jamaa alivyoziigiza sauti za Lowassa, Anne Makinda na Mbowe

on

Msanii JK Comedian ni moja kati ya watanzania waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo wa kuziigiza sauti za watu mashuhuri duniani, leo katuonyesha uwezo wake wa kuziigiza sauti za wanasiasa wa Tanzania akiwemo Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa, Spika wa bunge mstaafu Anne Makinda na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

ULIIKOSA HII YA JK COMEDIAN ALIVYOZIIGIZA SAUTI ZA JAKAYA KIKWETE NA RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments