Mix

PICHA 10: Mapokezi ya mwili wa Spika mstaafu Samuel Sitta uwanja wa ndege DSM’

on

mAsubuhi ya November 7 2016 ilianza na habari za kusikitisha baada ya kuwepo taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Samwel Sitta ambaye alifariki usiku wa kuamkia November 7 katika hospitali ya Technical University of Munich Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu.

Leo November 10, 2016 mwili wa Samuel Sitta umewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kupokelewa na viongozi wa serikali, wanafamilia pamoja na marafiki wa karibu wa Marehemu Samuel Sitta.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amesema kuwa mwili wa Spika huyo wa zamani utaagwa kitaifa kesho Ijumaa ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma na kisha kuelekea mkoani Tabora kwa Mazishi yatakayofanyika Jumamosi November 12, 2016.

da

az

x

w

q

k

mx

n

VIDEO: Ipo hapa taarifa ya Spika wa Bunge Job Ndugai kuhusu shughuli nzima ya kuagwa kwa mwili wa Spika wa zamani Marehemu Samuel Sitta.

 

Soma na hizi

Tupia Comments