Video Mpya

VideoMPYA: Msagasumu anatualika kuitazama “Mwache Adange”

on

Msanii wa muziki wa singeli Msagasumu baada ya kufanya vizuri na ngoma zake tofautitofauti ikiwemo wimbo wake wa “Mwanaume Mashine” ameamua kuja na video mpya ya funga mwaka “Mwache Adange”, bonyeza PLAY kuutazama wimbo huo.

Ulipitwa na kitu ambacho Hamisa Mobetto hataki kijirudie 2018?

Soma na hizi

Tupia Comments