Top Stories

Uteuzi mwingine wa Rais Magufuli leo August 21, 2017

on

Raisi John Magufuli leo August 21, 2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Uteuzi wa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo unaanza leo August 21, 2017.

‘Unaweza kumchukia mtu lakini usiichukie Tanzania’ – Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments