Habari za Mastaa

VIDEO: Steve Nyerere amjibu Bomboko wa UVCCM “Sijui kama anajua cheo chake”

on

Steve Nyerere amemjibu katibu wa Idara ya hamasa na chipukizi wa UVCCM Taifa Hassan Bomboko kutokana na kauli aliyoitoa siku moja baada ya  katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho Taifa Hamphrey Polepole kukutana na wasanii na kujadili mambo mbali mbali ya kukuza na kusaidia sanaa.

Tazama VIDEO hapa chini kwa kubonyeza PLAY kutazama.

ISIKUPITE HII YA HASSAN BOMBOKO WA UVCCM KIONGEA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

Steve kaongea “Hatuwezi kumuacha Wema aende tu Hata kama kakosea”

Soma na hizi

Tupia Comments