Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: SAMIRATHA ALIYEONEKANA KWA MGANGA KAFUNGUKA YOTE

on

Ni headlines za mfanyabiashara kutokea mkoani Arusha, Samiratha ambae kipindi cha nyuma alioneka kwa mganga wa kienyeji akifanyiwa dawa kasha video yake kusambaa katika mitandao ya kijamii huku story zikidai mumewe ndokavujisha video hiyo baada ya kugombana sasa kupitia Ayo TV Samiratha kafunguka yote Bonyeza PLAY kutazama FULL STORY

GIGY MONEY: “NIMECHUMBIWA ZANZIBAR SOON NAOLEWA/ MO TABIA ZIMENISHINDA”

Soma na hizi

Tupia Comments