Top Stories

JKT sio mchezo, ukakamavu na nidhamu Vijana wakihitimu mafunzo (video+)

on

Hii ni video ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya kijeshi kwa mujibu wa sheria katika kambi ya Jeshi la kujenga taifa bulombora Kigoma.

Ni zaidi ya vijana 900 wa mafunzo ya awali ya kijeshi vijana wa mujibu wa sheria operesheni samia suluhu hassan, kikosi cha 821 KJ bulombora katika wilaya ya Kigoma wamehitimu kozi ya miezi mitatu ya mafunzo ya awali ya kijeshi.

Ripota wa Ayo TV & millardayo.com mkoani  Kigoma amekusogezea video ya maonyesho ya mafunzo vijana walivyoiva na mafunzo hayo kambini kwa miezi mitatu.

KAMANDA ALIYEMPINDUA RAIS WA GUINEA AWAGOMEA MARAIS JUMUIYA YA ECOWAS “CONDE HAONDOKI”

Soma na hizi

Tupia Comments