fB insta twitter

Alichokizungumza RC Makonda alipoanza ziara ya DarMPYA Kinondoni

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda  ameendelea na ziara ya Dar Mpya ambayo  lengo ni kutafuta majibu ya kero mbalimbali zinazo0wakabili wananchi.

Leo November 27 2016 ikiwa ni siku ya tisa ameanza ziara yake katika wilaya ya Kindondoni kabla hajakutana na wananchi amezungumza na watendaji mbalimbali wa Manispaa ya Kinondoni na haya ni baadhi ya mambo ambayo ameyazungumza.

ULIKOSA? Wakazi wa Mloganzila walivyosimama barabarani kuzuia msafara wa RC Makonda, UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments