Michezo

Walivyomfanya Haji Manara wachezaji wa Simba siku ya yake kuzaliwa

on

Ijumaa ya January 18 2019 afisa habari wa club ya Simba SC akiwa Kinshasa Congo DR na club yake kwa ajili ya mchezo wa pili wa Kundi D hatua ya Makundi dhidi ya AS Vita, alisherehekea Birthday yake na wachezaji wa Simba, ambao kwa furaha walimwagia maji na kumuimbia.

VIDEO: Mwalimu Kashasha kuhusu pasi ya Ajibu kwa Fei Toto “Locomotive faint”

Soma na hizi

Tupia Comments