Habari za Mastaa

Huu ndio ujio mpya wa Jennifer Lopez kwenye muziki.

on

jloKama wewe ni shabiki wa Jennifer Lopez basi utakua umezimiss sana kazi zake kwenye muziki.

Same girl ndio wimbo mpya kutoka kwa JLo ambao umeandikwa na Chris Brown.

J Lopez ametumia muda wake akiwa studio na Future, Big Sean, Robin Thicke, Sia na Red One kuandaa nyimbo za album yake ya kumi.

Hiki ni kipande cha video ya sekunde 46 kutoka Youtube kikionyesha video ya Same girl ambayo itatoka hivi karibuni.

Tupia Comments