Habari za Mastaa

Jose Chameleone anakualika utumie dakika 3 tu kutazama hii video yake mpya. @JChameleone

on

Screen Shot 2014-05-08 at 11.46.36 PMWanasema ni Jose Chameleone ni miongoni mwa mastaa wachache kwenye muziki wa Afrika Mashariki walioweza kudumu bila kuwa kimya kwenye muziki tofauti na wengine ambao ukimya wao umezidi hata miaka na kushindwa kuhimili mikiki ya wasanii wapya.

iKind Media ndio wahusika wa kutengeneza hii video iliyofanywa Durban South Africa.

Jose Chameleone ameahidi atapita hapa kila baada ya saa 10 kuangalia fans wake wana maoni gani kuhusu hii video hivyo usiache kumuandikia hapo chini

Stori zote hizi ni haki yako zisikupite… jiunge na mimi kwenye twitter instagram na facebook @millardayo na nitakua nakutumia kila zinaponifikia iwe usiku au mchana.

Tupia Comments