Vituko/ Comedy

VIDEO: Jamaa yuko chakari alafu akahojiwa kuhusu viroba kupigwa marufuku

on

Pombe za viroba zimepigwa marufuku Tanzania kuanzia March 1 2017 na kuanzia hapo ukikutwa unauza au unatumia utapigwa faini au kwenda jela, ambapo baada ya hapo camera ya CloudsTV ilipita mtaani na kukutana na mmoja wa Watumiaji wa viroba ambae tayari alikua kapendeza……

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake aliyopiga na Edward Lowassa, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Huyu Jamaa kaigilizia sauti ya Mstaafu Jakaya Kikwete mpaka watu wakacheka, bonyeza play hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments