Mix

Kutoka Mlimani City DAR… Pichaz za mwanzo za Mkutano wa January Makamba June 07 2015

on

AW1A0940

Tayari nimesogea hapa Mlimani City Dar es Salaam… Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Tanga na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba anakuja hapa leo.

Kwenye list ya waliokuwa wakitajwa kuwa wanahitaji ruhusa ya CCM kugombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika October 2015, yeye pia yupo.

Leo tukae tayari kusikia kutoka kwake mwenyewe rasmi kabisa.. ninazo pichaz za kwanza kwanza hali ilivyo hapa Mlimani City mpaka sasa mtu wangu.

AW1A0936

AW1A0939

AW1A0941

AW1A0944

AW1A0945

AW1A0951

AW1A0954

AW1A0962

AW1A0970
AW1A0973

AW1A0980

AW1A0984

AW1A1000

AW1A1018

AW1A1019

AW1A1026

AW1A1039

AW1A1054

AW1A1062

AW1A1073

AW1A1076

AW1A1098

AW1A1112

AW1A1128

AW1A1132

AW1A1134

AW1A1137

AW1A1184

AW1A1185

Nimeambiwa kila kitu kimerahisishwa.. kama uko sehemu ambayo huwezi kuangalia TV wala kusikiliza radio, link hii itakusaidia na wewe uone LIVE kila kitu kinachoendelea hapa ndani popote ulipo>>> https://livestream.com/tanzaniampya/launch

Tupia Comments