Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Pakieni nyanya, maziwa, tunaleta nyingine tatu” Rais Magufuli (+video)

on

Leo July 18, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amesema kutokana na mafanikio ya kuongeza ukusanyaji wa mapato kutoka shilingi Bilioni 850 (2015/16) hadi kufikia shilingi Trilioni 1 na Bilioni 300 kwa mwezi hivi sasa, Serikali imeweza kufufua Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua ndege mpya 8 zikiwemo 6 zilizowasili nchini na kuanza kutoa huduma ndani na nje ya nchi na kwamba tayari ameshatoa maelekezo ya kununuliwa kwa ndege zingine 3 (Airbus 2 na Bombardier 1) ili kupanua huduma za usafiri wa anga na kukuza utalii.

JAMAA KALIAMSHA DUDE MBELE MAGUFULI, UMATI WAPIGA SHANGWE

Soma na hizi

Tupia Comments