Top Stories

Prof. Ndalichako alivyomwaga machozi msiba Maria na Consolata (+video)

on

Leo June 6, 2018 Watu mbalimbali wamejitokeza kuwaaga Pacha walioungana akiwemo Waziri Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ambapo ametoa heshima za mwisho kwa Miili ya Maria na Consolata.

LIVE MAGAZETI: Jeneza la Maria na Consolata lawatoa Jasho Mafundi, Vurugu za tikisa Bunge

Ndalichako ametaja kinachowafanya Maria na Consolata kuwa Mashujaa Taifa

Soma na hizi

Tupia Comments