social network

Maneno 41 aliyoyaandika Jakaya Kikwete kuhusu matumizi mabaya ya picha zake mitandaoni

on

Rais mstaafu kutoka kwenye awamu ya nne ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameamua kujibu kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii katika siku za karibuni.

Kupitia Twitter page yake Mstaafu JK ameandika >>> ‘Nasikitishwa sana na matumizi mabaya ya picha zangu mtandaoni hususan watu kunilisha maneno kwa kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa

Nimestaafu naomba niachwe nipumzike nisingependa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya serikali… namuunga mkono Rais na Serikali yake‘ – Jakaya Kikwete.

screen-shot-2016-10-27-at-11-20-45-pm

ULIIKOSA YA MANENO YA JAKAYA KIKWETE KUHUSU WANAOMSEMA MITANDAONI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

WANALALAMIKA PESA IMEPOTEA… HII MSG IENDE CLEAR KWAO – RAIS MAGUFULI, MTAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments