Top Stories

Maneno 15 ya January Makamba baada ya Uteuzi wake kutenguliwa

on

Baada ya taarifa kutoka IKULU kusema kwamba Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa January Makamba ambae alikua Waziri wa Nchi,  Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na George Simbachawene kuteuliwa kuchukua nafasi hiyo, January Makamba ameandika yafuatayo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii.

“Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa 😊Nitasema zaidi siku zijazo” – January Makamba

“WENGI HAWAAMINI NINA UKIMWI, BOYFRIEND WANGU NILIKAA NAE MIEZI MITATU TU” – DOREEN

“MWANAUME ALIYENYANG’ANYA MAJAMBAZI BUNDUKI, NATAMANI KUWA MWANAJESHI” 

Soma na hizi

Tupia Comments