Top Stories

Meli kubwa kama viwanja viwili vya mpira yatinga Bandari DSM (+video)

on

Ujenzi wa eneo la Bandari gati namba 0 ambalo Rais John Magufuli aliweka jiwe la msingi umekamilika ambapo Meli kubwa zimeanza kuingia ikiwemo yenye urefu wa Mita 200 ambazo sawa na viwanja viwili vya mpira wa miguu.

MELI MPYA INAVYOINGIZWA ZIWANI MBEYA

Soma na hizi

Tupia Comments