Habari za Mastaa

una love na Jamaican Hits?… hizi 10 kali za sasa!

on

Najua kuna watu wangu ni wapenzi wa Jamaican hits na nikazi yangu kukupa updates za ngoma hizi zinazotrend kwa sasa ,Trace Urban imetuletea tena list ya video kali za Jamaica kupitia Top 10 ya ambayo countdown hii imebeba jina Sound System na kila wiki huwa inazikutanisha ngoma kali za Jamaica zinazotrend sasa.

Nakusogezea countdown hiyo hapa chini mtu wangu pia usisahau kuniachia comment yako.

20160831_222003

20160831_221945

20160831_222102

20160831_222124

20160831_222210

20160831_222234

20160831_222255

20160831_222421

20160831_222524

20160831_222559

ULIIKOSA HII VIDEO YA MSANII KUTOKA NIGERIA YCEE ANAYEMKUBALI MSANII WA BONGO ANAYEMKUBALI? BASI ITAZAME HII VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments