Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Habari za Mastaa

Ali Kiba kwa Ommy Dimpoz “Usiwaze Mungu ndie Muumbaji wa Wanyonge”

on

Ikiwa leo ni September 13,2018 ndio siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa msanii Ommy Dimpoz ,Ali Kiba ambae ndie mtu wake wa karibu amemtakia la kheri katika maisha yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ali Kiba amemtaka Ommy Dimpoz akazane na aamini kuwa Mungu ana maana yake na ndie Muumbaji wa Wanyonge na Wajanja hivyo anapasa kumshukuru. 

“Happy Birthday @ommydimpoz enjoy your special day bro Na wala Usiwaze.Mwenyezi Mungu ndie Muumbaji Wa wanyonge Na wajanja . Hivyo basi tunatakiwa tumshukuru kwa kutupa/Na Kutunusuru kwasababu Mungu Ana maana yake na anatupenda Sote ..KAZA 💪🏾
#mofayabyalikiba #KingKiba”

Leo kwa mara ya kwanza Ommy Dimpoz katuonesha alivyokuwa ICU

Soma na hizi

Tupia Comments