AyoTV

Sababu 5 kwa nini Jose Mourinho hajatajwa kuwa kocha wa Man United hadi sasa (+Audio)

on

Headlines za kocha wa klabu ya Man United Louis van Gaal kuhusishwa kutaka kufukuzwa na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho, March 22 wataalam wa mambo wametaja sababu 5 kwa nini Jose Mourinho hajatangazwa kuwa kocha wa Man United hadi sasa.

1- Hadi sasa bodi ya wakurugenzi ya Man United inatajwa kuwa na mvutano juu ya maamuzi ya kuingia mkataba na Mourinho au la ila tabia yake ya utata imefanya kusita kufanya maamuzi hayo hadi sasa.

2- Sababu ya pili Man United huwa na utamaduni wa kuwapa nafasi wachezaji makinda kama Marcus Rashford, hivyo wanahofia kumpa timu Mourinho kwani huenda akawapotez makinda hao kutokana na tabia yake ya kupenda wachezaji walio komaa.

Unaweza malizia sababu 3 kwa kubonyeza play hapa

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments