Michezo

Mourinho kaiunga mkono kauli ya Arsene Wenger, unadhani wanaikubali Ballon d’Or?

on

Ars & MourinhoUnaikumbuka kauli ya kocha wa ArsenalArsene Wenger aliyoitoa kuhusu kupinga kutolewa kwa tuzo za mchezaji bora wa dunia za Ballon d’Or?

Kauli yake hiyo ilionekana kupewa uzito na sasa ni zamu ya kocha wa Chelsea, Jose Mourinho ambaye ameungana na kauli ya Wenger na kusema Kocha huyo yupo sahihi na kwamba lengo la soka linabadilika kutoka timu za soka hadi kwa mchezaji binafsi.

Tuzo hiyo inaonekana kutawaliwa na wachezaji wawili Lionel Messi pamoja na Cristiano Ronaldo toka mwaka 2008 na mwaka huu tena imekwenda kwa Ronaldo ikiwa ni mwaka wa pili mfululizo baada ya kufunga magoli 52 katika mechi 43 alizokuwa amecheza.

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye FacebookTwitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments