Mix

Muda huu unaweza kuisoma post hii ya January Makamba kutoka facebook.

on

makamb2aSina hofu ya kupoteza kiti cha Ubunge wala kwenda mahakamani ili kulinda haki za wakulima wa chai Bumbuli.Kitu ninachopenda kuona ni wakulima wanaomiliki kiwanda cha chai Mponde kupitia umoja wao wa Usambara Tea Growers Association (UTEGA) huku wakipata bei stahiki wanapouza chai yao na pia kunufaika na hisa zao katika umiliki wa kiwanda kupitia umoja wao tofauti kabisa na ilivyo sasa.

Hii ni post aliyoandika January Makamba ambaye ni mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

makamba

Tupia Comments