Habari za Mastaa

TID -“Sitorudi kwenye matumizi ya dawa za kulevya”

By

on

Mwimbaji mkongwe kwenye game ya Bongo Fleva TID amefunguka kuhusu kutorudia kutumia dawa za kulevya ikiwa pia ameongelea ishu yake ya kuwa na utofauti na Q Chief mpaka kutunga ngoma mpya pamoja.

Bonyeza PLAY hapa kutazama alichozungumza TID kwenye Exclusive Interview na Ayo Tv

Vanessa aumizwa na hali ya Ruge/biashara ya viatu vyake

Soma na hizi

Tupia Comments