Top Stories

Hali ni mbaya Jangwani…. nyumba zazungukwa na maji (video)

on

Mvua zinazoendelea kunyesha Dar es salaam ndio gumzo la sasa ambapo tayari Polisi wamethibitisha vifo tisa vilivyotokana na mafuriko, hii video hapa chini inaonyesha hali ilivyo kwenye eneo la Jangwani ambapo mara zote mvua kubwa huleta athari kwenye eneo hilo.

VIDEO FUPI: WANANCHI WALIVYOMUOKOA MTOTO KUTOKA JUU YA NYUMBA DAR

Soma na hizi

Tupia Comments