Mix

Jengo la gorofa 16 lililojengwa kimakosa Dar limeshushwa tayari..(+Video)

on

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi alitoa siku 18 kwa Uongozi wa manispaa ya Ilala kubomoa Jengo la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Gandhi.

Kazi hiyo ya ubomoaji alipewa mkandarasi mzawa ambapo ameifanya kazi hiyo kwa siku 47 badala ya siku 90 alizopewa Akizungumzia zoezi hilo linavyoendelea Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Ilala Isaya Mngurumi amesema…..

>>>Mchakato wake wa kupata mkandarasi wa kuvunja umechukua zaidi ya miaka miwili, tulikuwa tunategemea wa nje wakagoma, tukachuka wakandarasi wakubwa wakagoma, lakini tukapata mzawa wa ndani ambaye hatukuamini’ – Isaya Mngurumi

Hata sisi lakini amejaribu kufanya kazi yake kwa siku 47, badala ya siku 90. kikubwa alichokifanya ni usimamizi na ufuatiliaji katika suala hili, hakuna mtu aliyekufa wala aliyeumia, ilikuwa ghorofa 16 lakini mpaka sasa hivi kazi imekwisha’ Isaya Mngurumi

Itazame hii video jinsi  Jengo la gorofa 16 lililojengwa kimakosa Dar limeshushwa tayari

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Tupia Comments