Top Stories

PICHA 11: Matukio yanayoendelea msibani kwa kina Ruge Mutahaba

on

Waombelezaji mbalimbali wanazidi kujitokeza nyumbani kwa wazazi wa Marehemu Ruge Mutahaba maeneo ya Mikocheni Dar Es Salaam ambapo ndipo msiba ulipo tokea taarifa za msiba zitawale February 26,2019.

 

 

VIDEO: Chid Benz “Nimeshika hela kuliko Msanii yoyote na Ruge hajawahi nidhurumu, msitafute sifa”

Soma na hizi

Tupia Comments