Top Stories

Mwalimu Mkuu afikishwa Mahakamani andaiwa kubaka

on

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore, iliyopo Kigoma, Johson Rwekaza (Mwenye Shati Jeupe) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma akikabiliwa na mashitaka saba, ikiwemo ubakaji na kumtia mimba mwanafunzi wake wa darasa la tano.

Hata hivyo mshitakiwa huyo amekana mashitaka hayo na ameachiwa kwa dhamana, kesi yake imeahirishwa hadi Agosti 19, 2019.

HAKUNA NAMNA ALIEKUWA MKUU WA UPELELEZI KINONDONI LAZIMA ANYONGWE

Soma na hizi

Tupia Comments