Top Stories

Raia wa Marekani afunga ndoa na mpenzi wake akiwa ICU (+video)

on

Inaelezwa hii ilikuwa July 24, 2016 ambapo Raia wa Marekani aitwae Swift Myers aliamua kufunga ndoa na mpenzi wake Abbi Ruicker aliyedumu nae kwenye uhusiano kwa miaka miwili, hospitalini huku yeye akiwa kitandani.

Kwa mujibu wa mtandao wa Elite Daily umeripoti kuwa Swift Myers alikaa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) kwa takribani mwezi mmoja kutokana na ugonjwa wa kansa ulioanza  kumsumbua toka alipogundulika akiwa darasa la 7.

Inaripotiwa kuwa watu zaidi ya 100 walihudhuria harusi hiyo iliyofanyika katika chumba cha wagonjwa mahututi huku daktari wa Swift akilazimika kulipeleka tukio hilo live kupitia mtandao wa Facebook.

VIDEO: KIJANA ALIEFELI MASOMO, ANAYO CARWASH INAYOTEMBEA, KAJENGA NYUMBA

 

Soma na hizi

Tupia Comments