Video Mpya

VideoMPYA: Walper arudi tena kwenye video za mastaa, Time hii yupo na Ben Pol

on

Mwimbaji Ben Pol kaileta kwenu video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Sio Mbaya’ kawashirikisha The Mafik na ndani ya video kaonekana mrembo muigizaji Jacqueline Wolper. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama

EXCLUSIVE: Baada ya Makchicken sasa imetangazwa hii Mak Water

Soma na hizi

Tupia Comments