Top Stories

“Mkuu wa mkoa atakayemuweka mtu ndani bila sababu atachukuliwa hatua”-Waziri Mkuchika

on

Waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora George Mkuchika ametoa maelekezo kwa Wakuu wote wa mikoa na wilaya nchini ambao wamekuwa na tabia ya kuwasweka mahabusu watu wasiokuwa na hatia ya kuhatalisha usalama na atakayebainika kufanya kinyume na sheria atashitakiwa kwa mujibu yeye mwenyewe binafsi.

Mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya akitekeleza sheria kinyume na utaratibu kinyume na utaratibu anaweza kuchukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na yeye mwenyewe kushitakiwa binafsi, Mwanasheria mkuu wa Serikali hatomtetea mtu aliyevunja sheria makusudi kwa kumuweka mtu ndani bila sababu”-George Mkuchika

MAAGIZO YA SERIKALI KWA WAAJIRI WOTE NCHINI “TUMEONGEZA SIKU 14”

Soma na hizi

Tupia Comments