AyoTV

Exclusive: Uliyokua huyajui ya Joh Makini alivyomfata A.K.A , Davido na wanaosema WEUSI wanapendelewa

on

Rapper Joh Makini kutoka kwenye headlines za hiphop Tanzania alikutana na reporter wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Exclusive Interview akaongelea kolabo yake na A.K.A na jinsi alivyojihami kama A.K.A asingetokea kwenye video, wanaosema WEUSI wanapendelewa, anamuhitaji nani mwingine kwenye kolabo na mengine mengi kwenye hii video hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments