Michezo

John Bocco baada ya kushinda tuzo ya mfungaji bora (video+)

on

Usiku wa October 21 2021 ndio zilifanyika tuzo za TFF ambapo zililenga kutambua juhudi za Wachezaji, Makocha, Waamuzi na Viongozi waliofanya vizuri katika soka hususani msimu wa 2020/2021.

Miongoni mwa waliowania tuzo hizo ni Mshambuliaji wa Simba SC John Bocco ambae ameshinda tuzo ya (MVP) Mchezaji bora wa mashindano ya Ligi Kuu soka Tanzania bara 2020/2021.

MORRISON AFUNGUKA BAADA YA KUKOSA TUZO HATA MOJA YA TFF

Soma na hizi

Tupia Comments