Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kwa wachezaji wa ndani imeendelea na mazoezi ya kujiwinda na mchezo wa pili wa Kundi D dhidi ya Namibia mchezo utakaochezwa Limbe Omnisport Jumamosi ya January 23 2021.