Top Stories

John Mnyika “Mama Kabendera alieleza kwa uchungu kabla hajafa, alimtegemea Mwanae” (+video)

on

Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa John Mnyika leo December 3, 2019 akizungumza baada ya kuongoza maamia ya watu kumuaga Mama mzazi wa Kabendera amenukuliwa akisema  “Mtu ni mahabusu siyo mfungwa, kunyimwa fursa ya kutoka mahabusu, hata ingekuwa chini ya ulinzi kama wanavyofanywa kwa kupelekwa mahospitalini na kuhudumiwa chini ya ulinzi, Erick Kabendera kuzuiwa kuja kumuaga mama yake inaumiza sana”.

RAIS MAGUFULI ATOA DILI KWA WATANZANIA WOTE “FANYENI KUNA HELA MSIOGOPE”

Soma na hizi

Tupia Comments