Habari za Mastaa

Instagram: Post ya Idriss Sultani Kuhusu Jokate Mwegelo

on

Zilizojitokeza Leo March 12 2017 kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na post za mastaa na moja ya post nilizopenda zisikupite ni hii ya Idriss Sulutani ambapo amempongeza Jokate Mwegelo kutokana na mchango mkubwa katika jamii baada ya kutumia Brand yake kuitumikia jamiii na kubadilisha maisha ya vijana wengi.

Idriss ameyaandika haya kwenye Post hiyo…>>>Ndani ya miaka 5 she has done so much more than any celebrity in Tanzania kwenye jamii. Naomba nihamishie upepo kwake kwa shukrani zote kwa yote aliyoyafanya kuinyanyua jamii ya watanzania na naomba msamaha kwa niaba ya watanzania kwani tulikua busy tunaangalia nani anatoka na nani na nani kagombana na nani na nani kaposti uchi leo,

tukasahau kua umebadilisha maisha ya vijana zaidi ya laki 5 ndani ya miaka miwili tu. Ingekua muamuzi ni mimi ungekua Forbes because ni celebrity pekee uliyesimamisha brand product yako kwa jina lako and yes African boy ya Jux inakuja pia. Uliyoyafanya kwenye jamii yako bila kulazimishwa ni zaidi ya baadhi viongozi tuliowachagua kufanya kazi hizo tunazowalipa kufanya.

If am allowed may I please say you are “THE FLOWER ? OF TANZANIA” if you ask me why its because you are beautiful and you make us smell good werevaa you go.
Kwa niaba ya watanzania ningependa kusema tumejisahau sana na tusamehewe. Stay beautiful ??.. cc: @jokatemwegelo#TheFlowerOfTanzania

VIDEO: Jokate kakamilisha hili kwenye shule ya sekondari Jangwani

VIDEO: Show aliyofanya Alikiba Minneapolis Marekani

Soma na hizi

Tupia Comments