Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jokate akabidhiwa vifaa vya Milioni 20 na aliyekuwa Miss Ilala
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Jokate akabidhiwa vifaa vya Milioni 20 na aliyekuwa Miss Ilala
Top Stories

Jokate akabidhiwa vifaa vya Milioni 20 na aliyekuwa Miss Ilala

January 31, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amepokea vifaa vya msaada kwa watoto waliozaliwa kabla ya muda (Njiti) kutoka katika foundation ya  Doris Mollel aliyewahi kuwa Miss Ilala.

Msaada huo aliopokea Jokate Mwegelo wenye thamani ya TSh milioni 20 ni pamoja na mashine, vitanda na vifaa mbali mbali vitakavyoweza kuwasaidia watoto Njiti watakao zaliwa katika hospitali za Kisarawe.

Baada ya kupokea msaada wa vifaa hivyo DC Jokate pamoja na Doris Mollel walizungumza ambapo kwa upande wa Doris alielezea jinsi alivyoguswa na ombi  la Jokate na kuamua kusaidia katika wilaya hiyo.

..>>>“Tumemkabidhi DC Jokate vifaa vyenye thamani ya Sh M 20, Tayari kusadia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati hawaendi hospitali nyingine za mbali kutafuta huduma kwahiyo tunaokoa zile gharama na kwa mkoa wa Pwani hii inakuwa hospitali ya Pili” – Doris 

…>>>“Tunashukuru kwa kuanza hii 2020 vizuri kwa tukio hili la ki historia, alichokifanya Doris leo kuileta hii huduma hapa Kisarawe ni kuisogeza hii huduma karibu na wanachi wa Kisarawe ambapo leo Mwananchi asifike Chanika, asifike Muhimbili na wala asiende Mloganzila lakini ahudumiwe hapa hapa Kwenye wilaya yetu ya Kisarawe” – DC Jokate 

You Might Also Like

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

TAGGED: TZA HABARI
Victor Kileo TZA January 31, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article List ya walioteuliwa na JPM katika Wizara, Mahakama, Majeshi na Mikoa
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 1, 2020
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?