fB insta twitter

Post 10 za utani za Mastaa wa Bongo kuhusu ushindi wa Donald Trump

on

November 9, 2016 Marekani inazichukua headlines kubwa baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi na kutajwa kuwa Rais wa 45 wa taifa hilo. Mastaa wa bongo hawajachelewa kupost maneno ya utani kuhusu matokeo yalivyoenda tofauti na matarajio ya wengi.

Nimekukusanyia hapa post 10 za watu maarufu walivyoandika leo kwenye “social networks” zao juu ya uchaguzi wa Marekani na ushindi wa Donald Trump.

VIDEO: Maneno ya mshindi wa kiti cha Urais Marekani Donald Trump baada ya matokeo kutangazwa.

Soma na hizi

Tupia Comments