Kiungo wa Kimataifa wa Italia Jorginho amesaini mkataba wa miezi 18 wa kuitumikia Arsenal akitokea Chelsea.
Arsenal imewagharimu kiasi cha pound milioni 12 kukamilisha uhamisho huo, Jorginho baada ya utambulisho amekiri kuwa maamuzi yake yametokana na ushawishi kutoka kwa Kocha wa Arsenal Mikel Arteta.