Top Stories

Picha 16 za Mbunge Professor Jay na watu wake wa Mikumi kata ya Ruaha April 16 2016

on

April 16, 2016 Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay alifanya mkutano wa kuwashukuru Wananchi wake wa kata ya Ruaha kwa kumchagua kuwa mbunge lakini pia akatumia time yake kuwapa kipaza sauti wamweleze shida zao.

Video ya walichoongea utaipata soon kwenye channel ya millardayo YouTUBE lakini kwa sasa unaweza kutazama hizi picha 16 kwenye hii post.

.

.Gari lililombeba mbunge wa jimbo la mikumi, Mh Joseph Haule a.k.a Professor Jay baada ya kuwasili kwenye mkutano wa wananchi  wa kata ya Ruaha April 16, 2016

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Mkazi wa kata ya Ruaha akitoa maoni yake kwa Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule a.k.a Professor Jay kuhusiana na kero zinazowakabili

.

.Mbunge wa jimbo la Mikumi, Mh.Joseph Haule aka Professor Jay akizungumza na Wananchi wa kata ya Ruaha April 16, 2016

.

.

.

.

.

.Wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mbunge wa jimbo la Mikumi, Mh. Joseph Haule

.

.

.

.

3X6A2811

Kama ulimiss kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi basi mtazame hapa alikuwa jimboni kwake Mikumi baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Tupia Comments